Namjua ila simfuatilii na wewe kama mwanaume nakusihi achana na kina Mange. Hebu toa mfano mmoja tu wa story yake yenye mashiko, hivi Ndo huyu alisema Kinana katoka CCM?halafu wabongo mlivo MAJUHA mnajifanya hamumjui mnajifanya mnampotezea huku, lkn Instagram mna mfuata(following) sasa ya nn achezi ubambaz
si bora usaidie wasiojiweza..!
!
Awake na option ya Tigo pesa na mpesa tulipe hata elfu tano
Una utani na wateule wengi sana hapa,, kama ni vyakula tutalishwa sanaMwanaume kumfuatilia Mange ni dalili ya uchakula.
Inaonekana na wewe unamfuatilia maana usingemfahamuMwanaume kumfuatilia Mange ni dalili ya uchakula.
Nimeingia kwenye page yake nimekuta amewwka tangazo la Apps yake nikaenda Playstore nikakuta hiyo Apps ipo nimejisajili ila sasa inakubidi uwe na dollar moja kwa kuweza kupata subscription kwa mwezi nikaishia hapo labda hiyo ya tigo na mpesa ndo atatupata watanzania waliowengi ila kutumia visa au madtercard tunaogopa kukombwa vipesa vyetu!
Pia nimshauri picha aliyoiweka ike ya pink aibadilishe
Nanimeona pia mangekimambi daily ile amesema siyakwake.
Nimtakie kila la heri.
Kamuulize Polepope Na kigwangala kutwa kujibu Hoja zake insta , Wewe hauna Nafasi kwa Mange maana hata Jf unatumia fake ID ... Kama kweli wewe ni zaidi ya Mange weka Picha yako halisi humu ndani ...Namjua ila simfuatilii na wewe kama mwanaume nakusihi achana na kina Mange. Hebu toa mfano mmoja tu wa story yake yenye mashiko, hivi Ndo huyu alisema Kinana katoka CCM?
Una utani na wateule wengi sana hapa,, kama ni vyakula tutalishwa sana
Kumbe!Hadi humu mpo ambao chanzo chenu cha habari mange? Kweli watanzania wengi viazi
Tena wanaume kibao wanamfatilia kisirisiri hlf wanajishaua tu hapa. Hata kama hawampendi wanasoma habari zakeWale unaowasikia eti hawamjui mange waongo, ndio wanaoshinda kwenye mitandao kujibu hoja zake with fake ID's
Mkuu watanzania wengi wanaongoza kwa unafiki, ndio maana ata viongozi wetu hawasemi ukweli nchi inapoenda, ila mimi nina uhakika wakiwa chumbani na wenza wao watakua wanaongea ukweli, wakitoka nje wanajidai everything is going OKTena wanaume kibao wanamfatilia kisirisiri hlf wanajishaua tu hapa. Hata kama hawampendi wanasoma habari zake
Huu ndio ukweli. Hakuna ambaye yupo mtandaoni asimfatilie mange. Uwe ccm, uwe mpinzani, uwe huna chama, uwe mpenda umbea, uwe una mpenda, uwe humpendi.Mkuu watanzania wengi wanaongoza kwa unafiki, ndio maana ata viongozi wetu hawasemi ukweli nchi inapoenda, ila mimi nina uhakika wakiwa chumbani na wenza wao watakua wanaongea ukweli, wakitoka nje wanajidai everything is going OK
Ndo nakwambia sasa mwanaume acha kujihusisha na kina Mange unaonekana choko. Nipe mfano wa habari moja tu toka kwake yenye mashiko
Mbona mipovu inakutoka kama umekula foma gold?! Mwanaume halisi huwezi kuwa na gubu hivyo! Au ndo hiyo chakula unayoeleza?Kipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
Hivi Mange ni nani? namsikia sikia sana siku hizi