Hapo kwenye pesa hapati followers watanzania wanavyopenda dezo acha tuNimeingia kwenye page yake nimekuta amewwka tangazo la Apps yake nikaenda Playstore nikakuta hiyo Apps ipo nimejisajili ila sasa inakubidi uwe na dollar moja kwa kuweza kupata subscription kwa mwezi nikaishia hapo labda hiyo ya tigo na mpesa ndo atatupata watanzania waliowengi ila kutumia visa au madtercard tunaogopa kukombwa vipesa vyetu!
Pia nimshauri picha aliyoiweka ike ya pink aibadilishe
Nanimeona pia mangekimambi daily ile amesema siyakwake.
Nimtakie kila la heri.
Ana followers 1.1m ikiwa ni pamoja na viongozi wa maeneo mbalimbali. "Chakula" kitakuwa kingi sana...Mwanaume kumfuatilia Mange ni dalili ya uchakula.
Kipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriouslyAna followers 1.1m ikiwa ni pamoja na viongozi wa maeneo mbalimbali. "Chakula" kitakuwa kingi sana...
Hivi zile taarifa/docs classified huwa anazitoa wapi?Kipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demuHivi zile taarifa/docs classified huwa anazitoa wapi?
Mwanaume kumfuatilia Mange ni dalili ya uchakula.
Nimeingia kwenye page yake nimekuta amewwka tangazo la Apps yake nikaenda Playstore nikakuta hiyo Apps ipo nimejisajili ila sasa inakubidi uwe na dollar moja kwa kuweza kupata subscription kwa mwezi nikaishia hapo labda hiyo ya tigo na mpesa ndo atatupata watanzania waliowengi ila kutumia visa au madtercard tunaogopa kukombwa vipesa vyetu!
Pia nimshauri picha aliyoiweka ike ya pink aibadilishe
Nanimeona pia mangekimambi daily ile amesema siyakwake.
Nimtakie kila la heri.
Ulimjuaje huyo Mange... Taarifa ni muhimu sana, nduguyo wa Lumumba Bwana Polepole siku hizi anajibu hoja za Mange tu, maana anawajambisha Lumumba balaaa... Ni full kucheza ngoma yake tu, leo dhafa, kedho mchiriku, mdumange, Nk polepole anakimbizwa balaa.Kipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
Kama babu wa Loliondo.Biashara inamwendea vizuri,mbunifu sana...piga hela mdada...
Kuwa kama Daud Bashite.Msaada... mtu kuwa chakula ni nini maana yake?
halafu wabongo mlivo MAJUHA mnajifanya hamumjui mnajifanya mnampotezea huku, lkn Instagram mna mfuata(following) sasa ya nn achezi ubambazKama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu