Mange Kimambi a Tanzanian Socialite is back!!

Wee nae wkt anatukanwa mbona hukuandika hii barua yako ya kingereza cha form 3B.
Mange walimuanza, anamalizia.

Kamuulize huyo Mange Kimambi kwanini Page Yake instagram kaiweka private kwa wiki nzima.

Wazee wa UNDP, walipoona maisha ya ndani ya staff wao yapo mtandaoni. Wakatuma cybercrime squad kupeleleza huyo mange anatoa wapi hizo info. Mwisho wa siku wakagundua IP address na voice conversation zimeanzia kwa Rita Mchaki staff wao. Wakaenda mbele zaidi wakagundua kuwa Huyo Rita Mchaki na Mange walikutana March 15 dar kempinski kwenye party.

Hivyo kasha mchongea mwenzake sasahivi kapewa barua ya uchunguzi na Kakalia Kuti Kavu UNDP.
 
Inasemekana anaowatukana wamemuanza..sasa je mbona maadui wake ni wengi sana ?ina maana hawa wote wao ndo wanamchokoza na kwann yeye tu? amewakosea nini. nawaza tu
 
Watu wanaosena eti wanamuanza mange hawamjui,,toka utotonni mange ni muonezi yani alikuwa ni vile vitoto vibabe vya darasa....Yeye umuanze usimuanze kama umemzidi au maarufu basi jiandae kama,haujatukanwa bado hadi leo basi ipo siku yako ya katukanwa...na yeye anayokuchamba sio yote ya kwel ni anakipaji cha utunzi na uandishi..sifa yake nyingine anapenda sana kuongelewa, ana account fake kibao IG, yule ni wa kumpuuza tu.
 
Mi mwenyewe nashangaa wanaosema eti Mange kaanzwa! Mange anapenda kusema tu wenzie ila ikitokea naye wakamsema eti wamemchokoza mfyuuuuu!

Watu wanaosena eti wanamuanza mange hawamjui,,toka utotonni mange ni muonezi yani alikuwa ni vile vitoto vibabe vya darasa....Yeye umuanze usimuanze kama umemzidi au maarufu basi jiandae kama,haujatukanwa bado hadi leo basi ipo siku yako ya katukanwa...na yeye anayokuchamba sio yote ya kwel ni anakipaji cha utunzi na uandishi..sifa yake nyingine anapenda sana kuongelewa, ana account fake kibao IG, yule ni wa kumpuuza tu.
 
Watu wanaosena eti wanamuanza mange hawamjui,,toka utotonni mange ni muonezi yani alikuwa ni vile vitoto vibabe vya darasa....Yeye umuanze usimuanze kama umemzidi au maarufu basi jiandae kama,haujatukanwa bado hadi leo basi ipo siku yako ya katukanwa...na yeye anayokuchamba sio yote ya kwel ni anakipaji cha utunzi na uandishi..sifa yake nyingine anapenda sana kuongelewa, ana account fake kibao IG, yule ni wa kumpuuza tu.
Hataaaa siyo Wa kumpuuza hata kidogo... Au kwa kuwa alisema ukweli kuhusu upumbavu Wa Magufuli kumpiga mkewe?
 
Unajua inaumiza sana, alichofanyiwa Mange na kina Rachel, Nambua etc si kizuri kabisa kipindi yeye anataka kuolewa mpk waliwatafuta wakwe zake na mange na kuwapa profile la mange na pia waliwatukana sana wazazi mange matusi ya Nguoni. Waache na wenyewe wapate joto ya jiwe lol!
who is nambua?
 
Kina dada wasipocharazwa mikwaju vizuri na waume zao wanakuja kusumbua kwenye social netrworks
 
Back
Top Bottom