Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,873 Reaction score 29,048 Jan 21, 2017 #41 Wacha maneno weka mziki N.B: Ku maintain ni shida kama hauna stamina
Mwafwaa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2017 Posts 452 Reaction score 239 Jan 21, 2017 #42 mzaramo said: Kama akutengeneza hela na hainaga ushemeji ndio ishatoka hiyo ikirudi pancha. Na vile anavuta bange tujiandae kupata picha zake akiwa kabaki kichwa akiilaumu Cloud's ndio wamemfanya avute unga. Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mzaramo said: Kama akutengeneza hela na hainaga ushemeji ndio ishatoka hiyo ikirudi pancha. Na vile anavuta bange tujiandae kupata picha zake akiwa kabaki kichwa akiilaumu Cloud's ndio wamemfanya avute unga. Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwafwaa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2017 Posts 452 Reaction score 239 Jan 21, 2017 #43 mrsleo said: sasa mziki wenyewe hauna jipya, yeye atalitoa wapi jipya, labda afanye marudio Click to expand... Ila mistari ya singeli ni very simple sana. Uwe na uwezo tu wa kuwaconfuse wasikilizaji baas umetoka
mrsleo said: sasa mziki wenyewe hauna jipya, yeye atalitoa wapi jipya, labda afanye marudio Click to expand... Ila mistari ya singeli ni very simple sana. Uwe na uwezo tu wa kuwaconfuse wasikilizaji baas umetoka
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,578 Reaction score 18,952 Jan 21, 2017 #44 Itakuwa anapika mpya sasa....
yingamale JF-Expert Member Joined Jan 5, 2017 Posts 223 Reaction score 222 Jan 21, 2017 #45 Watu walkua busy n muziki, sasa wamegeukia kwenye moyo sukuma damu ya ditto,
gwa myetu JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4,473 Reaction score 4,671 Jan 25, 2017 #46 Mi na mkubali Msaga sumu na Shoromwamba naona hawachuji japo hawapewi nafasi
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,828 Jan 25, 2017 #47 singeli ni muziki wa watu wasiojielewa
dawa yenu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 2,833 Reaction score 3,750 Jan 25, 2017 #48 ndivyo ilivyo kwa homa za usiku.... unaweza ukapata homa had ukajihis kufa kufa ila jua likichomoza unakuwa fiti na unasahau kabisa kuhusu lile jihoma. Pamepambazuka sasa ni ngumu kuikumbuka homa hiyo iliyotesa taifa zima.
ndivyo ilivyo kwa homa za usiku.... unaweza ukapata homa had ukajihis kufa kufa ila jua likichomoza unakuwa fiti na unasahau kabisa kuhusu lile jihoma. Pamepambazuka sasa ni ngumu kuikumbuka homa hiyo iliyotesa taifa zima.