Kwenye hasira people say things they dont mean....., na mwenza sababu huwa ameumia na yeye anataka amuumize mwenzake atasema chochote cha kumuuzi mwenzie, na kutoa hayo maneno mtu ndio anavyotoa steam.... ingawa matusi si vizuri lakini wanasema ni bora kitu ukakitoa kuliko kukiacha rohoni, sababu siku kikifumuka..., thats when unasekia fulani amengatwa sikio....🙂😛eace: therefore sometimes arguments are healthy...
ni kweli kabisa...., tatizo ni pale ambapo hayo maneno yanaporudiwa rudiwa kila mkigombana mwenzio anakuita ma###y# hapo ndio panapoleta utata!
Wakati mwingine ni vizuri kama umepatwa na hasira ukakaa mbali na huyo aliekuudhi kwa muda mchache kama saa moja au mbili hivi, ili kuepuka kuongea sana manake unaweza kujikuta unaongea neno ambalo hata we mwenyewe ukija kulitafakari baadae unaumia.
Pia jawabu la upole hupunguza wingi wa hasira na ghadhabu.Afadhali kunyamaza kimya wakati mwingine.
Mi huwa naondoka sehemu hiyo ili nisiseme maneno nitakayoyajutia baadae.Hi lizzy hope your ok,za toka jana ? missing you besti.Mi hua nikikasirika najaribu kutokuongea na huyo mtu kwa wakati huo.
Mtu unatakiwa utulie kidogo kupunguza hasira maana ukiwa umekasirika
mtu hata akikwambia sijui pole...ohh samahani unaona kama anakuzingua tu.
Sasa kuna watu wao hiyo hawawezi kwahiyo analipuka tu right there and then!!!
Ugomvi si tabia ya kiungwana na matusi si hekima...hata kidogo...kwa maana hiyo hata tusi lililosemwa softly bado sili-entertain kwa kua halikuzingatia kanuni niliyoitoa hapo juu
Kwenye hasira people say things they dont mean....., na mwenza sababu huwa ameumia na yeye anataka amuumize mwenzake atasema chochote cha kumuuzi mwenzie, na kutoa hayo maneno mtu ndio anavyotoa steam.... ingawa matusi si vizuri lakini wanasema ni bora kitu ukakitoa kuliko kukiacha rohoni, sababu siku kikifumuka..., thats when unasekia fulani amengatwa sikio....🙂😛eace: therefore sometimes arguments are healthy...
Ni kweli kabisa VoR lakini hata kwenye ugomvi ni lazima wahusika wachague maneno yao very careful maana kumuita mkeo malaya haistahili kabisa hata wakati wa ugomvi huko ni kumdhalilisha kupita kiasi.
..
ila kusema ukweli hasa uswahilini wanawake wengi ndio wana maneno machafu kuliko wanaume ndio maana kila siku unakuta uswazi w/ume wanatembeza vibao baada ya kuzidiwa na maneno machafuJaman siyo mke tu mwanamke yeyote anahitaji kuthaminiwa kusikilizwa kuheshimiwa na kama amekosea ajibiwe kwa hekima ya ndani sana kulingana na udhaifu wake na siyo matusi na katika uzoefu wangu nimegungua kuwa ukiwa mpole na mstaarabu na hata kunyamaza kwa mwanamke mwenye makosa na vituko huwa ni adhabu kubwa sana kuliko hjizo za matusi ambazo zitakufanya udharaulike tu hata kama mkirudiana tena yanaacha majeraha mioyoni mwao
Kuna jamaa mmoja wakati anagombana na mke wake akamwambia "Hivi kati wanawake na wewe ni mwanamke" nilijiuliza maswali mengi ila majibu sikupata.
maneno mengine yachekesha wallah sasa kama ni mwanamme kwanini alimuoa??? na kampata tuu wakumwambia hivyo mi ningempa jibu lililo eleweka.. lol...
Hasira za kupindukia zinatokana na ulaji kwa wingi wa Red Meat. punguzeni kula nyama kama Simba.Mi hua nikikasirika najaribu kutokuongea na huyo mtu kwa wakati huo.
Mtu unatakiwa utulie kidogo kupunguza hasira maana ukiwa umekasirika
mtu hata akikwambia sijui pole...ohh samahani unaona kama anakuzingua tu.
Sasa kuna watu wao hiyo hawawezi kwahiyo analipuka tu right there and then!!!
ila kusema ukweli hasa uswahilini wanawake wengi ndio wana maneno machafu kuliko wanaume ndio maana kila siku unakuta uswazi w/ume wanatembeza vibao baada ya kuzidiwa na maneno machafu