Wadau lipi neno sahihi kati ya..
1. "Mbaka" au "Mpaka"
Mfano mtu aseme.....
"Mbaka sasa hakuna mshindi katika Pambano hili"
au
"Mpaka sasa hakuna mshindi katika pambano hili"
Yupi yuko sahihi hapo?
2. "Embu" vs "Ebu"
Mfano:
"Embu! Sogea nipite nikuoneshe"
Au
"Ebu! Sogea nipite nikuoneshe"
Kipi ni sahihi na kipi sioo Sahihi
Karibuni tujadilianeeee