Mambo vipi wana MMU.
Kuna maneno fulani huwa yananikera hasa pale ninapo mtongoza msichana.
Basi anaponiambia huwa nakosa hata jibu but inabidi nipige sound tu nakurudisha kumbukumbu alimradi tu, apotee na atoke kwenye lengo.
Kuna maneno kama:
1) Umenipendea nini?
2) Nitajuaje ka unanipenda?
3) Huwaoni wengine?
Hunamvuto sitaki.
Ok wewe pia najua yapo yanayokukera.
Tiririkaaaaaa