Maneno yaliyowahi kuleta mijadala kwenye jamii

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
865
(1)Rais Mkapa Kuwaita Watu Malofa
(2)Rais Kikwete Kusema wanafunzi wanaopata mimba wana kiherehere
(3)Rais Magufuli kusema kuwa wanafunzi wenye Div Four ni Vilaza
(4)Dkt Willbroad Slaa kumwita Kafulila SISIMIZI
(5)Nyerere kumwita Samweli Malechela Mhuni
(6)Nyerere Kusema Kikwete ni mtoto
(7)Masaburi kusema watu wanafikiria kwa kutumia Makalio
(8)Fredrick Werema kusema Kafulila ni Tumbili
.(9)
(10)
Yapo mengi unaweza kuendele kuongezea ili Wahusika wakumbuke

Kwa sehemu kubwa wasemaji wengi wametoka Chama Kimoja
 
....Vijisenti tu hivi( Mh. Fulani bin Fulani)
.....Hii ni hela ya mboga tu(Mama Muheshimiwa wa pale )
 
Ukitaka kula lazima na wewe uliwe.. Sina maana hiyo .. Mzee wa Msoga
 
Kwanini polisi msiyakamate magari yanayoingilia barabara ya mwendo kasi, mkiyafikisha kituoni mnayachomoa matairi: nanyi si mtakuwa mmepata biashara!!!? Dk JJ.

My take:: Nadhani hii ndio kauli mbaya zaidi kuwahi kutolewa ktk muda mfupi ktk ofisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom