Maneno ya kwny ukuta wa RELI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maneno ya kwny ukuta wa RELI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MUREFU, Feb 15, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  WanaJF niaje nimepita jana jion kwny njia panda kuelekea chang'ombe nikashangaa kukuta magal na folen kubwa 2uu alafu baada ya kufika pale kila m2 anacheka kuangalia nje ndo ninaona hayo maneno hv ni nan ameandika maneno mazur vle kwa yeyote aliesoma hebu andika hapa chin mm nimeona BORA KIWARAZA KULIKO UHENDISAM
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Duh, inaelekea mwalimu wako wa darasa la kwanza alipata shida sana. Anastahili pongezi hata hivyo, maana hayo maneno yako yalivyokosa ushirikiano?
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  - Kusoma kuelewa kukesha mbwembwe.
  - Mjamzito anaombwa rushwa ya ngono
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaaaah!! Unaweza ukaonekana chizi ukiwa ndani ya daladala kwa kucheka mwenyewe!! Kuna maneno huwa yanachekesha sana hasa kwenye magari na katika kuta kama hivyo!!!
   
 5. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  -Disability is not inability,
   
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Yaani mie hapana elewa kabisa.........................
   
 7. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Si chenji 5,000 kwa njaa ya siku moja
   
 8. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Heri ya trafic police 100,000 kuliko fisadi 1
   
 9. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #9
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Chalii umepiga valuu nini...............................
   
 10. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  unajua wale jamaa wanafalsafa......
   
 11. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Tofauti ya Mkwere na Mngoni ni lugha tu
   
 12. Mr Chabo

  Mr Chabo Member

  #12
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kifo cha mende akina darasa
   
 13. Mr Chabo

  Mr Chabo Member

  #13
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio vyote vingaavyo ni dhahabu, vingine vyupa
   
 14. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani nimecheka peke yangu,but ni ukweli ambao uko wazi,so the msg is clear!
   
Loading...