Maneno mazuri humtoa nyoka pangoni

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Habari zenu wana MMU,

Kuuliza sio ujinga, naomba shule ya maneno mazuri ambayo ukiwa unamwambia mpenzio/mkeo ataongeza kukujali na kuwa karibu na wewe sikuzote kwa mambo yote katika kuendesha familia bora.

Asanteni kwa michango yenu
 
MAPENZI HAYANA DARASA/ELIMU HADI LEO HII KWA SABABU HAYANA FORMULA-take it from me
 
Kuna lugha 11 za mahaba wanaume mnatakiwa mzitumie........sisi tuna 22.......
Unataka nikufundishe........nakuPM namba ya m-pesa....
 
Maneno ya kumtakia mpenzi wako hayana fomula chochote waweza mtamkia hata kama unaona aibu jitahidi tu, uoga wako ndo utakumaliza.

Habari zenu wana MMU,

Kuuliza sio ujinga, naomba shule ya maneno mazuri ambayo ukiwa unamwambia mpenzio/mkeo ataongeza kukujali na kuwa karibu na wewe sikuzote kwa mambo yote katika kuendesha familia bora.

Asanteni kwa michango yenu
 
Kuna lugha 11 za mahaba wanaume mnatakiwa mzitumie........sisi tuna 22.......
Unataka nikufundishe........nakuPM namba ya m-pesa....
Mmmhh ishakuwa kitega uchumi....... kwa heri shosti!!!!!
 
mh!hata maneno unataka ufundishwe? mbona u mvivu wa kufikiri?we ndo unamjua mpenzi wako nadhani hata maneno ya kumfurahsha yatatoka kwako kuliko tukikupa sisi.
 
"Kumtoa nyoka pangoni"
Nyoka yupi? Pango lipi?
Nauliza tu.......
 
Hakuna formula, chochote waweza kumwambia alimradi hakitakuwa cha maudhi.
 
Habari zenu wana MMU,

Kuuliza sio ujinga, naomba shule ya maneno mazuri ambayo ukiwa unamwambia mpenzio/mkeo ataongeza kukujali na kuwa karibu na wewe sikuzote kwa mambo yote katika kuendesha familia bora.

Asanteni kwa michango yenu

mkuu, mapenzi ya siku hizi yamejawa na vitendo japo maneno nayo ni ingredient tosha..

kuna wengi wameachika sababu ya kuwa too theoretical (maneno sana oriented) wakati mabinti wengi wanataka scientific love...

kama umeweza kujaaliwa pesa kidogo, umeweza kumhudumia mpenzi wako japo matumizi mengi madogo madogo, basi kuhusiana na theory, usijali.. utapata!

1. jaribu kuwa charmful kwa mpenzi wako.. being charming inaamsha sana ashki na hisia zilizokufa, speaking romantic to your baby is healthy.. fear nothing as long she is yours.. kuwa charming and romantic, inaongeza ladha sana..

2. maneno pia yana jinsi yake yanavyotakiwa kusemwa, si kila neno laweza pokelewa vizuri, hata kama limetolewa ki-romantic kama nilivyosema hapo juu.. jifunze mood ya mwenzio.. message delivery inategemea sana na hali aliyokuwa nayo mpenzi wako... KILA JAMBO NA WAKATI WAKE! usipeleke romance msibani.

nk nk nk!!
 
kila mtu ana maneno yake anayoyatumia kila siku na yanabadilika ktkn na muktadha husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…