Maneno matatu muhimu katika mahusiano

Nashukuru kwa somo mkuu nikiolewa nitatumia haya maneno
 
Hahahahaha lol! Pole sana nilihisi hivyo lakini sikuwa na uhakika bahati nzuri haujasimama. Eti moyo unadunda LoL! Na usingizi je haukukuruka!?

Hahaaaa. Unakujua bana BAK yaani hadi moyo wangu ulijikuta unadunda. lol.

Haya bana. [emoji120] [emoji120]
 
Bahati mbaya sana hata hao wachache wanaoyatumia,hawayamaanishi. Wanayatamka tu kama desturi sio kwa kuyatoa mioyoni mwao.
 
Hahahahaha lol! Pole sana nilihisi hivyo lakini sikuwa na uhakika bahati nzuri haujasimama. Eti moyo unadunda LoL! Na usingizi je haukukuruka!?
Hahahaaa. Hapana BAK haukuruka sababu nimekuta hii kitu baada ya kuamka asubuhi.
 
Reactions: BAK
Nashukuru kwa somo mkuu nikiolewa nitatumia haya maneno
Du mpaka uolewe? wa kuoa ndio wanatapeliwa na maneno haya, utasikia " aah Yule ndio waifu matirio". Kama enzi zetu wakati TV station ziko 3, watoto wanaangalia egoli, basi ulimbo ilikuwa " ooh my love my angel, nikusubiri kidogo hapa saloon" unaonekana una macare, kumbe unamendea punany tu.
 
Sasa mkuu mm bado under 20 hayo mambo nitayajulia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…