Wanajamii, Leo nimeona tukumbushane Maneno 3 muhimu Ktk mahusiano, "nakupenda, samahani na asante". Matumizi ya maneno haya yamepungua Sana ktk mahusiano yetu na Kwa wengine hayapo Kabisa. Na Hii ndio sababu ya break-ups nyingi. Tafakari na uvae uhusika ktk hil, utaona direction ktk mahusiano yako hasa Kwa wale walio Ktk Ndoa.
Kwahiyo wakisikia umesema "Nakupenda" ndio wamejiaminisha? Ibanie hivyo hivyo, itamke tu pale unapoitoa kwa Moyo.Kiukweli mimi siku hizi kusema "nakupenda" hadi niulizwe "hivi kweli jr unanipenda?" Nimeshaacha kabisa kupenda kwasababu ya binti mmoja mjinga aliyewahi kunisomesha namba! Mabinti nilio nao wote huniuliza swali hilo kila siku! Labda pole ndo huwa naitoa kwa hiari bila unafiki
Halafu ziko nyingi mpaka zinapoteza uzito wa hilo neno.siku hizi ni i love you!!
Wanajua siwapendi ila njaa zao tu zinawapa uvumilivu. Na neno nikishalitamka kwa unafiki hata uso huwa unadhihirisha wazi, utasikia "oooh mbona unachoongea na unavyoonekana ni tofauti?" Najibu "we jua nakupenda" then nabadili madaKwahiyo wakisikia umesema "Nakupenda" ndio wamejiaminisha? Ibanie hivyo hivyo, itamke tu pale unapoitoa kwa Moyo.
Wanajua siwapendi ila njaa zao tu zinawapa uvumilivu. Na neno nikishalitamka kwa unafiki hata uso huwa unadhihirisha wazi, utasikia "oooh mbona unachoongea na unavyoonekana ni tofauti?" Najibu "we jua nakupenda" then nabadili mada
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bado moja mkuuActually ni matano na sio manne. Nayo ni:
- NAKUPENDA
- ASANTE
- SAMAHANI
- POLE