babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,325
Bondo--ugali wa dona
vimbuzi--maandazi(Moshi tech huko)
we nae umesoma moshi tech.?
Bondo--ugali wa dona
vimbuzi--maandazi(Moshi tech huko)
Mnatunyanyasaje?
Nifundishe na mimi.
Maputo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] lyamungo nn iyooPa1 sana mze wa fongo, chenga, maputo nk.
Staili yake ya ugawaji uko mita kumi keshakurushia ugali ukisinzia ukadondoka chini imekula kwako na Kukusonya juu.mzee zizzou (manase) ivi bado yupo??
We bwana, ulikuja hapa huijui tv banaaa, sasa hivi wajiona mjanja watongoza njiwa.we nae umesoma moshi tech.?