cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,871
Sio lazima avatar iakisi nilivyo au falsafa zanguSasa mbona Avatar yako iko tofauti na maneno yako?
Sio lazima avatar iakisi nilivyo au falsafa zanguSasa mbona Avatar yako iko tofauti na maneno yako?
Daaah Dogo umenikumbusha mbali sana,Bangi-simu
Nyuji-uji
Kyuli-puli au punyeto
Ngama-ugali
Mongwe-kuishiwa
Upalo-kupunjwa msosi
Nta-matandu ya wali
MZUMBE BOYS 2010
Haswaaaa. ikemefuna, black market.ihungo ww??
Kama kawaUlikua unanawa supu nn?.
Sifongo= kunywa uji bila vitafunwa.Kwa Tosa boys watanielewa vizuri
1. Kukosha = Kukariri maumbo ya wadada wapita njia
2. Half mile= Chooni
Niliacha chata kuubwa transmitter "SIR NI" na kipigo kwa Kahororo hadi Tukawa "WANTED" Bk nzima.hukuacha mtoto nshambya??![]()
![]()
![]()
![]()

Mtoto sikuacha mkuu, tulikua tunaenda Kyaryonga kula ndizi(banana)hukuacha mtoto nshambya??![]()
![]()
![]()
![]()
Mzumbe sloganpumbu-irojeni...msuli-tv
Mkuu kwa point namba 5,Nina asilimia kubwa ulisoma NDANDA BOYS mkuuWakuu,amani kwenu...
Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding.
Mi nakumbuka maneno kama:
1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one
2.Kufufuka=kuamka usiku kusoma.
3.Kuwa Mongwe= Kuishiwa pesa.
Sifongo=Uji usiokuwa na sukari.
4.Kuchoma=Kuingia bwenini ukiwa umevaa viatu/kandambili
5.Top layer=watoto waliokuwa wanakuja kuchukua mabaki ya vyakula.
6.Nelkon,Abbot,Lambert,Lodgers,UP,BS,Mkate,Jacky Fernandes,Nalndel Kumar=miongoni mwa vitabu maarufu vya sayansi.
Mnaweza kuendeleza list...
Tishaa sanaaKama kawa
Mwaka gani hyo Boy?..Niliacha chata kuubwa transmitter "SIR NI" na kipigo kwa Kahororo hadi Tukawa "WANTED" Bk nzima.![]()
![]()
Kahororo, Kilosa (Kizu boys)Rungwe boys
mkuu pale tosa umemaliza mwaka gani?Kwa Tosa boys watanielewa vizuri
1. Kukosha = Kukariri maumbo ya wadada wapita njia
2. Half mile= Chooni