Maneno kuntu ya mzee Mugabe

Yaani unaulizwa swali kisha nawe unauliza swali badala ya kujibu ulichoulizwa! tuna safari ndefu sana aisee!
Kwenye swali langu kuna jibu la swali lako kama ilivyo kwenye swali lako kuna utambulisho usio rasmi.
MEMKWA wanapata shida sana ku corp na fasihi.
(hili dongo lazima litampata mtu)
 
Kwenye swali langu kuna jibu la swali lako kama ilivyo kwenye swali lako kuna utambulisho usio rasmi.
MEMKWA wanapata shida sana ku corp na fasihi.
(hili dongo lazima litampata mtu)
Uwezo wako wa uelewa unaonekana ni mdogo sana! naona umeamua kuja na maneno ya kanga badala ya kujibu ulichoulizwa! mtoto wa kiume unajisifia kurusha "dongo!"

Nimekuuliza unauhakika gani kama hayo maneno yamesemwa na Mugabe? unaniuliza "Kwani nawe ni pastor?" hilo ndio jibu la fasihi?
Hebu kaa pembeni kwanza coz naona utoto unakusumbua bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…