Maneno haya ya Waziri Mkuu mstaafu,Mhe. Sumaye kuhusu "UKUTA" kwa Mhe.Lema kwa hakika yanaenda kutimia

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Anaandika Mhe. Godbless Lema kupitia twitter:

Waziri (M)mstaafu Mh F.Sumaye alinimbia,Lema wala tusiwe na haraka ya operation UKUTA kwani huyu mtu anajenga ukuta wake yeye mwenyewe.Hali ya uchumi kwa sera hizi itakuwa mbaya na njaa itawafundisha watu kuamua.Kwa hali ya sasa ya biashara ni sahii kusema Mh Sumaye aliona mbali View details ·
Godbless E.J. Lema @ godbless_lema
 
Mmmh yani wewe hapo umeona kuna maneno ya maana kweli? Ndiyo maana Mh. Sumaye alimwambia Mh. Magufuli kuwa wako Chadema kuisaidia serikali ya CCM ili itawale smoothly nimeamini hawa wanyama wa Serengeti ni shida!
 
Anaandika Mhe. Godbless Lema kupitia twitter:

Waziri (M)mstaafu Mh F.Sumaye alinimbia,Lema wala tusiwe na haraka ya operation UKUTA kwani huyu mtu anajenga ukuta wake yeye mwenyewe.Hali ya uchumi kwa sera hizi itakuwa mbaya na njaa itawafundisha watu kuamua.Kwa hali ya sasa ya biashara ni sahii kusema Mh Sumaye aliona mbali View details ·
Godbless E.J. Lema @ godbless_lema
Lema elimu yake ni ndogo hivyo hata uwezo wake wa kupambanua mambo ni mdogo japo ndio think tank ya Chadema
 
Lema gani huyu anaongelewa???!!!! Yaani mtu serious unakaa kutafakari maneno ya hawa watu???!! Baadala ya kuja na sera mbadala wao wamekazana kudodosa makosa ya chama tawala!!! What a waste of time!!! Upinzani wa sasanchini hauwezi kiuleta challenge yoyote ile kwa CCM...Come 2020 inawezekana upinzani ukapata kiti kimoja cha Bunge...inasikitisha mno...Watanzania kadhaa walikuwa na matumaini ya kuwepo na upinzani unaoona mbali, lakini kumbe hakuna kitu hapa...
 
Ndio nami nashangaa. Yani jamaa anam-quote Lema hakika chadema wamefilisika watu wa kuwanukuu.
 
Lema gani huyu anaongelewa???!!!! Yaani mtu serious unakaa kutafakari maneno ya hawa watu???!! Baadala ya kuja na sera mbadala wao wamekazana kudodosa makosa ya chama tawala!!! What a waste of time!!! Upinzani wa sasanchini hauwezi kiuleta challenge yoyote ile kwa CCM...Come 2020 inawezekana upinzani ukapata kiti kimoja cha Bunge...inasikitisha mno...Watanzania kadhaa walikuwa na matumaini ya kuwepo na upinzani unaoona mbali, lakini kumbe hakuna kitu hapa...
Acha ukilaza sera mbadala washazindua kitabu kama wewe ni mvivu wakusoma kuwa na tabia yakujisomea upate uelewa hata kidogo maana wewe ni jamii ya hao nyumba wa lumumba na tume yao ya chama kimoja,rasimu ya katiba ya warioba iko wapi? nyumbu wa aina yake IQ zenu ziko mku***
 
Mbobezi wa Uchumi Godbless Lema ni heshima kuwa na Wataalam Wababaishaji ambao wanaaminiwa kama hawa ndani ya Chama. Jembe la Kaskazini From Street Thug to MP
 
Anaandika Mhe. Godbless Lema kupitia twitter:

Waziri (M)mstaafu Mh F.Sumaye alinimbia,Lema wala tusiwe na haraka ya operation UKUTA kwani huyu mtu anajenga ukuta wake yeye mwenyewe.Hali ya uchumi kwa sera hizi itakuwa mbaya na njaa itawafundisha watu kuamua.Kwa hali ya sasa ya biashara ni sahii kusema Mh Sumaye aliona mbali View details ·
Godbless E.J. Lema @ godbless_lema
Mkuu hata yule aliyekuja kwa taifa la Israel, Israel walimtoa roho. Haya maneno yataishi wajinga hawataelewa. Na wako kule Lumumba.
 
Lema elimu yake ni ndogo hivyo hata uwezo wake wa kupambanua mambo ni mdogo japo ndio think tank ya Chadema
Kwamba wewe una elimu kubwa? Lema ana elimu ndogo lakini ni mjanja kuliko wewe, elimu yako inakusaidia nini unahangaika kutafuta wanaume?
 
Back
Top Bottom