Maneno haya ya Waziri Mkuu mstaafu,Mhe. Sumaye kuhusu "UKUTA" kwa Mhe.Lema kwa hakika yanaenda kutimia

Akiwasweka ndani wewe unafaidika na nini kama wewe siyo mchawi au kigagula?
Mkiwa hamna hoja mahsusi huwa mnakimbilia kwenye matusi na lugha za kuudhi.

Kama kitu imekuzidi uwezo wa kuelewa kaa karibu na wenzako wakufundishe kujibu au la kaa kimya.
 
Baadala ya kuja na sera mbadala

Mkuu sera mbadala zipi unazotaka wewe, mbona chadema already wameshakuja na sera mbadala

Kuwa mpole zitakufikia hapo ulipo au Go and chase em
 
Kumbe ndo maana tukianzisha mada za maana mnakimbilia matusi. Wanasema "akili za kuambiwa changanya na za kwako."

Kusema aseme Sumaye, tukisema sie wasaliti, tumenunuliwa. Leo mmefikia hatua ya kumnukuu Mr Zero, kwa vile "yupo likizo" huko kwenu?
Ndio maana nasema wewe ni CCM au una chuki zako binafsi.
 
Back
Top Bottom