Mmmh, hata kama unasikia vi text message vinaaingia usiku wa manane mkiwa mmelala, busy na watsappp kama kuna mashindano. Mara mtu kapiga simu tano usiku, anaenda kuongelea bafuni, anarudi, still you don't give a ---- on that? really?...u gotta be kiddin man.
Sent from my iPhone using JamiiForums app