Habari wana MMU!!
Nilikuwa nafanya udukuzi kidogo na nimekuta conversation hizi kwa simu ya wife kati yake na workmate mwenzio wa kiume.
1. "mambo wangu, leo umetoka au upo tu nyumbani"
2. "bye bye myn, see you...""
sijamuuliza mpaka sasa namsubiria tukaulizane wakati wa kulala, je ni kawaida tu au kuna lingine la ziada.

Hahaha. Washa moto bwana. Wanamtafuta wa nini? Afu kuna msg hapo katikati kazifuta.
#teamuchochezi
ni udukuzi tu ndugu yangu, japo sina mazoea ya kushika na kupekenyua pekenyua simu yake ila leo nikajaribu na nimekutana na hayo!
ndo hivyo tena, ngoja amalize kupika tukija kulala nitamuuliza ila roho imeingiwaje na mashaka.!!
maofisini kuna mpaka watu wanaitana mke na mume na wasifanye chochote.....
ukianza kumchunguza kuku utashindwa kumla.....hayo maneno ni so irrelevant
anaemla mkeo pengine hata sms hatumi.....au simu yake mke anaiacha ofisin
Aisee mie hili linanishangaza sana. Mke/Mume wa mtu kuitana wife/husband na mtu mwingine ni kitu ambacho sikielewi kabisaaa, lakini ndiyo hivyo tena binadamu tunatofautiana au wengine akina sisi si wa MUJINI.
ni udukuzi tu ndugu yangu, japo sina mazoea ya kushika na kupekenyua pekenyua simu yake ila leo nikajaribu na nimekutana na hayo!
au unakuta wanawake wanaitana 'mke mwenza'
yaani wana share kidume ofisini......acha tu.....