Maneno "Haina Mashaka" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maneno "Haina Mashaka"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Aug 23, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Neno hili nimelifuatilia sana na nimegundua linatumiwa sana na wenzetu wahubiri wa Kiislam.

  Mfano,,Dini ambayo "Haina Mashaka",,,,,,
  Kitabu ambacho "Hakina Mashaka",,,,,,,
  Sasa naomba kuuliza,,kwanini wanapenda sana kulitumia maneno hayo kuhalalisha wanachokisema?
   
Loading...