Maneno bila sauti kutoka kwa dadaz

Maneno bila sauti kutoka kwa dadaz

Mkuu hapo ulipomalizia kusema I'm not a gay sijakuelewa, kuwa avoid women haihusiani na mambo hayo

Mtu anaweza kuwa avoid women kulingana na mambo Kama; umetoka kutendwa, ushawala Sana umeona hamna jipya ( umeamua kutulia zako na mkeo/mchumba ) , una mambo mengi ya kufanya kimaisha nk nk
 
Na bado, hadi muongee wenyewe.
Rudisha ile avatar uliyonyoa denge la Mimi sina akili hio uliyoweka unatuchanganya as if upo hospitali ya wagonjwa wa akili kwa sasa unacheza na midoli?
 
Wazee wa kupanda mnazi kwa mkono mmoja naomba like zenu kamanda hapa ✌️
Hatari sana hicho chama kina wanachama wengine wengi sana wengi ni wa kimya kimya ila wapo chamani To yeye niongezee sauti hapo kwenye mixer naona mic inayomba
 
Back
Top Bottom