JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Jun 11, 2014 #1 Jana wakati namwandikia msg mtu ninayemuheshimu sana nikateleza, badala ya kusema MAMBO, nikasema MAMBOO, hebu tutataje maneno mengine ambayo ukiteleza kidogo tu basi unajikuta nje ya ulingo.
Jana wakati namwandikia msg mtu ninayemuheshimu sana nikateleza, badala ya kusema MAMBO, nikasema MAMBOO, hebu tutataje maneno mengine ambayo ukiteleza kidogo tu basi unajikuta nje ya ulingo.
ndendi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 625 Reaction score 186 Jun 11, 2014 #2 kumaliza masomo