Mandhari safi ya UDSM

Van Damme

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
68
Reaction score
13
Hii ni sehemu ya maeneo yenye muonekano wa kipekee sana, kwenye viunga vya CHUO kikuu Far es salaam.
 

Attachments

  • 1423862965240.jpg
    49.5 KB · Views: 952
  • 1423862983306.jpg
    53.3 KB · Views: 819
  • 1423863000332.jpg
    60 KB · Views: 778
hall 2.... hilo jengo lishagoma kutakata!!! tulilikuta chafu tumeliacha chafu na naona bado ni chafu
 
Washauri wa serekali na wananchi wa mambo mbalimbali yakiwemo afya na mazingira wapo na watatokea hapo.!!
 
van damme so what????...usafi unaanza kwangu, kwako, kwetu na kwao kabla ya kuwahusisha udsm....amka na tafakari
Hii ni sehemu ya maeneo yenye muonekano wa kipekee sana, kwenye viunga vya CHUO kikuu Far es salaam.
 
Maskini chuo changu!!, Tatizo ni siasa ndio kinaharibu hichi chuo, wataalam wanao wazuri sana wa kurekebisha vizuri sana miundombinu ya chuo lakini loh! wapo tu nao wanahangaika huku mitaani kama akina sisi na wanafanya vizuri!.

Utashangaa hapo chuo hakuna maji mwezi mzima, vyooni kuchafu utadhani vyoo vya manzese sokoni lakini CoET ipo pale wameshindwa hata kubuni njia mbalimbali za kuvuna maji wakati chuo kina nafasi kubwa sana ya kufanya ubunifu wowote!!. Kwenye miti kweli hakuna wajenzi!. Walimu wa vyuo nao wanahangaika tu na consultancy za mitaani.
 
Mimi nimesoma hapo maji yakikatika chooni unaenda na gazeti kubwa (MZALENDO/DAILY NEWS) unatandika vizuri unakatia gogo humo na kufunga na kutupa chini
 

Hapo ndio tujiulize kama tatizo ni uongozi wa watu kama kina Mukandala au ni wanachuo wenyewe au ni waalimu. Inasikitisha kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…