Mandela akimbizwa hospitali....

Mungu akuponye na kukukurejeshea afya. Pole kwa kuumwa Madiba
 
Mungu akuponye rais wetu wa Afrika na uzidi kuimarika kiafya
 
Kuna highly probability ya utabili wa TB Joshua kutimia...
 
Mzee huyu anastahili kupumzika sasa amaifanyia afrikakusini makubwa mwenyezi Mungu atamlipa na kumrehemu.
Mkuu,
Siyo Afrika kusini tu, ni Dunia nzima. Ameifundisha dunia thamani ya ubinadamu, na maana ya Msamaha!
Namtakia Mandela Maisha zaidi na zaidi, na kila siku huyu mzee anatoa somo kwa binadamu kuwa mtu akisamehe anajiongezea umri!
 
Kuna highly probability ya utabili wa TB Joshua kutimia...
Broda , you are fool!...come what may!
Huwezi kutamka maneno ya hovyo namna hii kwa mtu anayeheshimika kiasi hicho...Ni kweli atakufa kama wewe, lakini kumpimia wigo wa miezi 6 ya TB JOSHUA ni kutokuwa great-tinker, na kukosa maadili ya wazazi.
Unaweza ukamwacha huyu mzee aisee!
 
Kwa taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari na mitandao, Nelson Mandela anaendelea vizuri badala ya operation aliyokua anafanyiwa kufanikiwa.

Naomba tuendelee kumuombea ili afya yake izidi kuimarika.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Taarifa toka kwenye twitter yake zinasema he is fine and will be released soon.
 
Tumuombee sana mzee Nelson Mandela, Rais mweusi wa kwanza wa Afrika Kusini, ili apone haraka maradhi yanayomsibu. Huyu mzee ni lulu pekee iliyobaki Afrika baada ya kuondoka kwa Nyerere na Afrika isingependa kumuona na yeye anaondoka.
 
Mkuu,
Siyo Afrika kusini tu, ni Dunia nzima. Ameifundisha dunia thamani ya ubinadamu, na maana ya Msamaha!
Namtakia Mandela Maisha zaidi na zaidi, na kila siku huyu mzee anatoa somo kwa binadamu kuwa mtu akisamehe anajiongezea umri!
Ok, kumbe ndo maana mmesamehe mafisadi, good job, mbarikiwe.
 
Back
Top Bottom