Manchester United ukichukulia serious unakufa na pressure!

Manchester United ukichukulia serious unakufa na pressure!

Palac leo tena tunapigwa kichapo cha Mbwa Koko...
3 bila tena nyumbani kwetu Old Trafford...

Tupige nduru ama??
Fanyeni kama yanga tu anzisheni campaign kwenye kurasa za carric

Huenda carric mwenyewe baada ya matokeo haya anaenda room kucheka
 
Nimeangalia mechi katika mazingira magumu mno
 
Tangu Fergie aondoke ni maumivu tu
HVU30PrXYAAiAJB.jpg
 
Back
Top Bottom