Fans wa united wala tusikate tamaa kwa haya matokeo,timu yetu imecheza mechi nyingi sana za malengo ndani ya kipindi kifupi ukilinganisha na liverkuku. Fatigue inatuua sio kwa uchezaji huu. Tuko slow sana,possession hadi case anapokonywa kirahisi tu.