mKuu kama amekaa Pale Turin kwa 3 seasons na kapiga GOLI 101 iweje ashindwe hapa OT wakati ukiangalia Chance's zilokosa wamaliziaji kwa Misimu 3 ni nyingi kuliko goli zikizopatikana kwa maana hiyo hatukuwa na Mmaliziaji wa Maana kwa Lugha nyingine wakueleweka mpaka pale ambapo alipatikana Cavani.
Kwa kwa huu msimu tu Anapiga 60 Trust me
.