Kufunga sio hoja ya kufaa kuanza, kiukweli Chicharito akicheza dkk 90 speed yake huwa inashuka sana kutokana na kucheza kwa kasi sana. Ni mzuri zaidi akiingia sub kwa kuwa mabeki wanakuwa wamechoka kidogo kwa speed yake anakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kufunga