Hapa pana kitu cha kufikirika!

Man U from position 1 to 3

View attachment 1325238
United kuwa nafasi ya 3 sio mara ya kwanza kushika hiyo nafasi ,the main problem is our rival Manchester City & Liverpool wako kwenye position kubwa sana kuipiku United kwa mara ya kwanza next year United haitakuwa timu ya kwanza kuingiza mapato kwa klabu za England

Manchester United remain in third place for the second consecutive year, despite revenue increasing by £37.3m (6%). This
was almost wholly driven by a return to the Champions League, the improved distribution from UEFA for the new rights
cycle and the Red Devils reaching the Quarter-final.Club controlled matchday and commercial revenue streams remain stable. In part this is driven by the timing of deals and the absence of major commercial renewals.

It also highlights how challenging it is to continually significantly improve revenue when performances on the pitch decline.
With the club failing to qualify for the Champions League in 2019/20, Manchester United find themselves in a precarious
position in Money League terms.

United predict revenue of £560-580m in 2019/20, a result that would likely see the club
fall to its lowest ever Money League position in next year’s edition. This could also put the Red Devils at risk of losing its
position as the Premier League’s highest revenue generating club for the first time in Money League history, with, its fierce
local rivals Manchester City and Liverpool,possibly replacing them
.The risks the club are facing in Money League terms could be further exacerbated by the likely negative revenue impact to some key commercial deals of a failure to participate in the Champions League for two or more consecutive seasons.Nevertheless, despite its on-pitch struggles the global appeal of the club, which some competitors are still far from matching,should give United the opportunity to innovate and take advantage of new market developments like few others can.
 
Kwa unavyoielezea hapa timu yenu, mtu akiambiwa haipo hata top 4 atabisha kwakweli.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abusive language,
Lugha fulani hivi ya kishamba shamba,
Neno "Hilo la Vilema ni dhihaka Kubwa kwa wenye ulemavu".
Wake up your mind mzazi.
Tuchambue soka, lakini usiwakosee heshima wengine wenye changamoto
Usizokuwa nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo William ni mzuri sana , naona Academy inawalipa sasa , anacheza kisasa ,fullback inatakiwa kupanda mbele sio kubaki nyuma
 
Mfano mdogo ni mechi Arsenal dhidi ya Cristal Palace, waamuzi waliamua kutumia VAR na Auba alipewa red card

Lakini kwenye game ya Liverpool dhidi ya Spurs, Robertson alifanya kosa la namna hiyo hiyo lakini jamaa hata hawakujisumbua kuangalia VAR
Na kama VAR itakuwa kwa ajili ya pande zote mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mourinho alimaindi kuhusu hii ishu..

Ile ilikuwa redcard,maajabu hata yellow sidhani kama alipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…