Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama nilivyowaambia mabeki Wa manutd wazembe sana hawakabi kabisa na wanapasia maadui
 
Kuna huyu mshambuliaji Wa Blackburn ana marasta anawapa kibarua mabeki Wa manutd
 
Mikhi anatoa nje haya ndiyo matatizo ya kujipigia wakati ni mpira Wa kutoa chumba
 
Rashford alimlamba kipa chenga baada ya pasi ya Mikhi kuwachanganya mabeki wawili Wa Blackburn
 
Ni yule Rastafarian aliyemlamba Cheng's na kutoa chumba bao likafungwa amepata nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…