Sasa Kwani kucheza alhamis ajabu Sasa we unaekuja kucheza jumanne ukitoka apo sijui utacheza siku gani😼😼😼😼😼😼😼😼
Sasa Kwani kucheza alhamis ajabu Sasa we unaekuja kucheza jumanne ukitoka apo sijui utacheza siku gani😼😼😼😼😼😼😼😼
Kucheza alhamis ni upuuzi tuu, tena unautana na vitim fulan hv vya kule ulaya kijijini....
Mara napoli, mara sijui fernabache,
Vile vya kule urusi kwwnye barid kali...
Kombe hili kwa man u, ni uwekezaj usio faida..