Mechi nyingine muhimu kwa mustakabari wa timu yetu.
Mechi hii ni muhimu kwetu kushinda na si sare kwa sababu kuu 2.
Mosi kurudisha imani kwa mashabiki na kujiamini kwa wachezaji.
Pili kuongeza mbinyo wa kugombea nafasi mbili za juu.
Karibuni sana mshuhudie moja ya mechi nzuri iliyojaa ufundi pia mshuhudie Shitty akiumizwa vibaya.