Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Cha kufurahisha ni kwamba, pamoja na Di Maria kuonekana flop lakini mpaka sasa ana 9 assists akiwa ndiye top assist maker wa Man U msimu huu na wa 5 kwa Man U wa wakati wote in a Single PL season

bring on next season when he is on fireeew
 
Attachments

  • 1427979964648.jpg
    53.2 KB · Views: 83
Cha kufurahisha ni kwamba, pamoja na Di Maria kuonekana flop lakini mpaka sasa ana 9 assists akiwa ndiye top assist maker wa Man U msimu huu na wa 5 kwa Man U wa wakati wote in a Single PL season

bring on next season when he is on fireeew

Binafsi namkubali sana Di Maria philosophy herbs za LVG zikikaa mwilini vizuri kijana atakuwa tishio sana England.
 
Safari hii Man U mjitahidi mrudi UEFA ili muweke ushindani kwa timu za England, natamani sana mkirudi hatua ya mtoano au robo mpangwe na FC Barcelona.
 
Mimi ntakuwa dilemma ntakosa kwa kushangilia jamani Lol!!!
 
Man U kwanini msitengeneze uwanja wenu uwe na muonekano mzuri, haiwezekani timu kubwa na yenye pesa kama Man U ikapitwa kuwa na uwanja mzuri na Taifa la Tanzania. Uwanja wa Mpya wa Taifa ni mzuri kuliko Old Trafford.
 
baki na man u yako, timu inacheza mpira ka simbaaa!!!!

Weeee sasahivi tumerudi kwenye form yetu mbona UEFA na tutafika mpaka fainaly na tutacheza na Barca akishinda yoyote furaha kwangu, Ntuzu hapa nimeongea kama waleee rafiki zetu lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa pole sn.....ndio maana mi Niko na Mourinho wangu lol

:thumbup:😀:banghead: sasahivi atakuvuruga kweli kweli bora uwe na nyumba ndogo kama mimi ukivurugwa huku unaenda kupoza machungu kule,ukifurahishwa kote kama last week inakuwa buruuuuuuudani,lol
 
Weeee sasahivi tumerudi kwenye form yetu mbona UEFA na tutafika mpaka fainaly na tutacheza na Barca akishinda yoyote furaha kwangu, Ntuzu hapa nimeongea kama waleee rafiki zetu lol

Rafiki zetu siku hizi wako kimya lol......
 
Last edited by a moderator:
:thumbup:😀:banghead: sasahivi atakuvuruga kweli kweli bora uwe na nyumba ndogo kama mimi ukivurugwa huku unaenda kupoza machungu kule,ukifurahishwa kote kama last week inakuwa buruuuuuuudani,lol

Mou fundi km wewe hawezi kunivuruga....akinivuruga ni bora aniachie Chelsea yng lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…