Bila shaka umemwelewa huyo mtangazaji.Mtangazaji wa mechi h mnafiki sana π ety anasema Man U wanaweza kusawazisha mechi h π msawazishe nn? labla muingie na msasa π
Umefufuka muda huu au Sio πBila shaka umemwelewa huyo mtangazaji.
Kaka wa ze bluzi habari.Umefufuka muda huu au Sio π
Kwan Chelkenge amecheza leo? πKaka wa ze bluzi habari.
ina .maan hujasikia kilio huko π€£π€£π€£Kwan Chelkenge amecheza leo? π
Mm nashabikia West hamina .maan hujasikia kilio huko π€£π€£π€£
Pole sana, club sio mwanamke kwambs utabsdilishaπ€£Mm nashabikia West ham
Pamoja na yute bado nyumbu hamtufikii tulipo π₯π₯Pole sana, club sio mwanamke kwambs utabsdilishaπ€£
Amekuwa anafanya makosa yale yale kila siku. Saves zake anarudisha ndani ya penalty boksi badala ya kupangulia nje mbali kushoto/kulia.yule jamaa wa tafuteni kipa wa kueleweka huenda ana hoja ya msingi, kama naanza kumuelewa.
IamMrLiverpool
Wolves wanakujaIle timu pale ilipo haishuki daraja kamweee itaishia palepale....
π π π π π πyule jamaa wa tafuteni kipa wa kueleweka huenda ana hoja ya msingi, kama naanza kumuelewa.
IamMrLiverpool
πHuyu bwanyenye atakuwa ana asili ya romboBwanyenye halitaki mchezo
View attachment 3248908