Manchester City vs Arsenal - EPL (Dec 14, 2013)

Ntuzu

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
17,418
10,852
Kwa Mara nyingine tena ile timu ya watoto Au km wajulikanavyo wapotezaji Leo tena watakua uwanjani Etihad kukamirisha ratiba Yao ya upotezaji chini ya Kiongozi wao Wa uchumi!

Mashabiki Wa Watoto kaeni mkao Wa Presha!

Asante

===========
UPDATES:

Dk 13: Man City 1 - 0 Arsenal (Aguero)

Dk 31: Man City 1 - 1 Arsenal (Walcott)

Dk 38: Man City 2 - 1 Arsenal (Negredo)

Dk 50: Man City 3 - 1 Arsenal (Fernandinho)

Dk 62: Man City 3 - 2 Arsenal (Walcott)

Dk 65: Man City 4 - 2 Arsenal (Navas)

Dk 85: Man City 5 - 2 Arsenal (Fernandinho)

Dk 90+3": Man City 5 - 3 Arsenal (Metasaka)

Dk 90+5": Man City 6 - 3 Arsenal (Per Mertesacker)

FT: Man City 6 - 3 Arsenal
 
Kwa Mara nyingine tena ile timu ya watoto Au km wajulikanavyo wapotezaji Leo tena watakua uwanjani Etihad kukamirisha ratiba Yao ya upotezaji chini ya Kiongozi wao Wa uchumi!

Mashabiki Wa Watoto kaeni mkao Wa Presha!

Asante
Usilikimbie Jukwaa tu hapo badae!! I note you!!
 
Usitumie nguvu zako kumjibu huyo. Achana naye atakaa kimya.


Wewe unasemaje Eti?

Hakai kimya mtu hapa! Saa za game sio mbali subiri uone!

Unachekesha!
 
Nipo City kwa mkopo ebo mnashangaa nini nani aliwaambia mashabiki hawawezi kuazimwa kwa muda mtashangaa leo sioni mtu wa kumzuia Silva na Aguero.
 
Hii game saa ngapi wadau..mi liver naomba mungu arsenal apoteze hii game angalau nimsogelee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…