Wanawake wa kabila la wazinza

Status
Not open for further replies.
Huyu ni dada wa Magufuli.......wazinza ni chotara ya ''muhaya'' na ''msukuma'' chanaganya mila za kabila hizi utapata jibu
 
Ndıyo mara yangu ya kwanza kulısıkıa hılı kabıla. Lınatokea mkoa ganı?. Wanaolıjua watakueleza tabıa zao ıngawa nafıkırı ımeshaelezwa mara nyıngı na zaıdı watu wengı wamekuwa wakıkosoa tabıa ya kutaka kuelezwa sıfa za mtu kwa kuegemea kabıla.
umempata au unatafuta wakabila hilo?kama umempata sasa kwanini usimuulize hayo yote? ye ndo atakwambia ukweli humu ndani tutakudanganya!
 
Ushauri wangu wa bure kwako njoo Mwanza hasa wilaya ya Sengerema ambako hawa watu wanapatikana uje uwafanyie utafiti maana suala la kumuoa huyo dada naona hauko siriazi.
 
Yote utaambiwa ila nakuongezea sifa hii moja ambayo usipokuwa makini utafikiri wasumbufu kumbe ......
Wanapenda mapenzi ya wazi, ukimpenda anajenga mazingira ya kila anayekufahamu na anayemfahamu ajue kuwa mko kwenye mahusiano. Pia kwenye mambo fulani wana nguvu sana kiasi kwamba kamoja / viwili atakuona hufahi - hii ni kwa sababu ya mazoea yao ya kupendelea kula samaki fresh, miili yao imesheheni mafuta.
 
Ngugu mtoa mada, Wazinza wana tabia fulani (japo si sana) ya ubinafsi na dharau kidogo. Sio wataalamu sana wa kupika hivo km amekulia ktk mazingira ya kijijini mapishi yapo pembeni, na wewe km ni mtu uliezoea mapishi ya Pwani utakutana na mapishi ambayo ambayo si mazuri sana
Kuhusu utamaduni ni watu ambao kitoweo cha heshima ni Sato. Kama wewe ni mkwe watakuandalia sato kama kitoweo cha heshima sana. Inabidi ujiandae siku utakapokwenda kuwatembelea wakwe kijijini wakati wa chakula. huwa wanakula kwa pamoja yaani mnakaa wote chini au kwenye mkeka mnaanza kula. sahani/bakuli la mboga/kitoweo ni moja na mnashare. Mchuzi huwa ni mwingi sana, Ktk eneo lao viazi hustawi sana hivo unaweza kukuta chakula kikuu cha mchana ni viazi na Sato waliopikwa chukuchuku na mchuzi mwaingi. Nimesema ujiandae kwa sababu ulaji wao utakushangaza. wanatumia bakuli moja kwa ajili ya mchuzi na kwa sababu ni mwingi kila mtu akitaka anachukua bakuli hilo anatia mdomoni na kunywa mchuzi ili kushushia kiazi alichokula, so ninyi nyote mnatumia mfumo huo wa kushushia mchuzi ulioko kwenye bakuli moja. Hapo km roho yako ni nyepesi unaweza kutapika au ukaacha kula ila ndivyo wanavyokula.
Naomba leo niishie hapa. nikikumbuka nyingine nitakuambia coz niwahi kuishi huko for about 3 yrs and my parent are living there japokuwa sisi si wazinza

EBWANAEEE... hapo kwenye kunywa bakuli la mchuzi hapoo,.. Vipi neno mswaki kwao linaleta maana?
 
Umenikumbushaga mami! Nilipiga shule mitaa hiyo miaka hiyo! Element za ushirikina zipo kama ilivyo kwenye makabila mengi! Wanakaumimi fulani kama nshomile ila sio sana hasa wanaume! KUBWA KULIKO YOTE NA SITASAHAU, HAWA JAMAA NI WAKARIMU SIJAPATA KUONA. Samaki wa heshima kwao sio sato ila kitu moja inaitwa BUNGU.Ni kama sato ila huyu anakawekundu hivi. Kila weekend tuliingia vijijini na huko karibu zingeweza kukupasua tumbo.Ni bungu, udaga, viazi na juisi ya machungwa made at home! Aah ngoja niishie hapa! Those people!
 
Ngugu mtoa mada, Wazinza wana tabia fulani (japo si sana) ya ubinafsi na dharau kidogo. Sio wataalamu sana wa kupika hivo km amekulia ktk mazingira ya kijijini mapishi yapo pembeni, na wewe km ni mtu uliezoea mapishi ya Pwani utakutana na mapishi ambayo ambayo si mazuri sana
Kuhusu utamaduni ni watu ambao kitoweo cha heshima ni Sato. Kama wewe ni mkwe watakuandalia sato kama kitoweo cha heshima sana. Inabidi ujiandae siku utakapokwenda kuwatembelea wakwe kijijini wakati wa chakula. huwa wanakula kwa pamoja yaani mnakaa wote chini au kwenye mkeka mnaanza kula. sahani/bakuli la mboga/kitoweo ni moja na mnashare. Mchuzi huwa ni mwingi sana, Ktk eneo lao viazi hustawi sana hivo unaweza kukuta chakula kikuu cha mchana ni viazi na Sato waliopikwa chukuchuku na mchuzi mwaingi. Nimesema ujiandae kwa sababu ulaji wao utakushangaza. wanatumia bakuli moja kwa ajili ya mchuzi na kwa sababu ni mwingi kila mtu akitaka anachukua bakuli hilo anatia mdomoni na kunywa mchuzi ili kushushia kiazi alichokula, so ninyi nyote mnatumia mfumo huo wa kushushia mchuzi ulioko kwenye bakuli moja. Hapo km roho yako ni nyepesi unaweza kutapika au ukaacha kula ila ndivyo wanavyokula.
Naomba leo niishie hapa. nikikumbuka nyingine nitakuambia coz niwahi kuishi huko for about 3 yrs and my parent are living there japokuwa sisi si wazinza

Mkuu si useme tu kuwa wewe ni Mzinza!
Mbona hujamtonya mleta thread kuhusu mambo ya superstition, mamba-mtu (bulalo) na mengine mengi? Umezungumzia hasa mila pamoja na mambo ya maakuli; mpatie in-put zaidi.
 
Wanapenda kuendesha matrack kama huna inabidi umnunulie angalau scania ili afurahi,au kama vipi hata fuso sio mbaya
 
Ngugu mtoa mada, Wazinza wana tabia fulani (japo si sana) ya ubinafsi na dharau kidogo. Sio wataalamu sana wa kupika hivo km amekulia ktk mazingira ya kijijini mapishi yapo pembeni, na wewe km ni mtu uliezoea mapishi ya Pwani utakutana na mapishi ambayo ambayo si mazuri sana
Kuhusu utamaduni ni watu ambao kitoweo cha heshima ni Sato. Kama wewe ni mkwe watakuandalia sato kama kitoweo cha heshima sana. Inabidi ujiandae siku utakapokwenda kuwatembelea wakwe kijijini wakati wa chakula. huwa wanakula kwa pamoja yaani mnakaa wote chini au kwenye mkeka mnaanza kula. sahani/bakuli la mboga/kitoweo ni moja na mnashare. Mchuzi huwa ni mwingi sana, Ktk eneo lao viazi hustawi sana hivo unaweza kukuta chakula kikuu cha mchana ni viazi na Sato waliopikwa chukuchuku na mchuzi mwaingi. Nimesema ujiandae kwa sababu ulaji wao utakushangaza. wanatumia bakuli moja kwa ajili ya mchuzi na kwa sababu ni mwingi kila mtu akitaka anachukua bakuli hilo anatia mdomoni na kunywa mchuzi ili kushushia kiazi alichokula, so ninyi nyote mnatumia mfumo huo wa kushushia mchuzi ulioko kwenye bakuli moja. Hapo km roho yako ni nyepesi unaweza kutapika au ukaacha kula ila ndivyo wanavyokula.
Naomba leo niishie hapa. nikikumbuka nyingine nitakuambia coz niwahi kuishi huko for about 3 yrs and my parent are living there japokuwa sisi si wazinza

Mkuu umemaliza yote niliyotaka kuandika so jamaa achukue point toka kwako.
 
Hawa jamaa ni wabishi na wanajiamiani sana, nadhani mfano hai ni wa Dr. Pombe ..... ambaye ni member wa hilo kabila
 
We jamaa akili yako haipo sawa, unasema nimepata mchumba, sa ushapata mchumba ndo uanze kudadisi tabia za kabila lao, hayo ungeyauliza kabla, afu maswala kama haya kaa na wazee wako au babu/bibi/wajomba zako au hata watu wazima ulio na ukaribu nao. Kila kitu hadi ulete huku. Are we your parents? are you our son? Do we your parents? Is your parents us?
 
Ngugu mtoa mada, Wazinza wana tabia fulani (japo si sana) ya ubinafsi na dharau kidogo. Sio wataalamu sana wa kupika hivo km amekulia ktk mazingira ya kijijini mapishi yapo pembeni, na wewe km ni mtu uliezoea mapishi ya Pwani utakutana na mapishi ambayo ambayo si mazuri sana
Kuhusu utamaduni ni watu ambao kitoweo cha heshima ni Sato. Kama wewe ni mkwe watakuandalia sato kama kitoweo cha heshima sana. Inabidi ujiandae siku utakapokwenda kuwatembelea wakwe kijijini wakati wa chakula. huwa wanakula kwa pamoja yaani mnakaa wote chini au kwenye mkeka mnaanza kula. sahani/bakuli la mboga/kitoweo ni moja na mnashare. Mchuzi huwa ni mwingi sana, Ktk eneo lao viazi hustawi sana hivo unaweza kukuta chakula kikuu cha mchana ni viazi na Sato waliopikwa chukuchuku na mchuzi mwaingi. Nimesema ujiandae kwa sababu ulaji wao utakushangaza. wanatumia bakuli moja kwa ajili ya mchuzi na kwa sababu ni mwingi kila mtu akitaka anachukua bakuli hilo anatia mdomoni na kunywa mchuzi ili kushushia kiazi alichokula, so ninyi nyote mnatumia mfumo huo wa kushushia mchuzi ulioko kwenye bakuli moja. Hapo km roho yako ni nyepesi unaweza kutapika au ukaacha kula ila ndivyo wanavyokula.
Naomba leo niishie hapa. nikikumbuka nyingine nitakuambia coz niwahi kuishi huko for about 3 yrs and my parent are living there japokuwa sisi si wazinza
Sasa mkuu, hiyo ya kunywa mchuzi ktk bakuli moja, labda kwasasa huenda washaacha hizo, kwamaana ya kuwa watu wanaelimika na mambo ya kiafya, mf zamani ilikuwa tunanawa ktk bakuli moja siku hizi hamna hizo, mnanawa kwa mtindo wa kutiririsha maji, hivyo nina imani wengi wao washaachana na hyo mambo hasa sasa elimu imekuwa bure nina imani wengi wao walau la saba, ile maarifa kuhusu usafi wengi itakuwa washaacha hiyo kitu
 
usisahau pia huwa wanapenda sana mambo ya kishirikina majumbani hadi maofisini.Ila wewe mpende zaidi Mungu atakuonyesha njia mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom