Tetesi: Manara Msemaji mpya wa PSV Eindhoven

Tetesi: Manara Msemaji mpya wa PSV Eindhoven

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,756
1. Mheshimiwa Haji Manara amepata shavu la usemaji wa klabu ya PSV Eindhoven.

2. Mipango ya vibali vya kazi na viza vikikamilika yeye pamoja na familia watatimkia huko ng'ambo tayari kwa kazi. ya usemaji.

Hongera sana Haji, Hongera Zailisa
 
hiyo klabu inachezea cha ndimu
 
Labda akawe mascot wa timu.

Wamvalishe li nyago awe anaimba kaswida yake mpya aliyoitoa kuhamasisha timu.

1741894382085.jpeg
 
Back
Top Bottom