Amegundua Lopolopo zake hazina madhara kwa Simba, zaidi ya kwamba anajidhalilisha tu Mwenyewe.Wadau wa sports hasa football Hamjambo !
Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua utofauti mkubwa Sanaa ktk utendaj wake wa kazi
Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine
Pia siku izi amekuwa NI mtu wa kurusha tu vijembe mtandaoni ..yaan ni ana tumia mitandao ya kijamii zaidi
My take
Huenda ikawa mwajiri mpya amempa TORs ambazo NI tight sanaaa au ana mueshimu zaidi mwajiri wake wa sasa kuliko ambavyo alikuwa ana mueshimu mwajiri wake wa zamani
Ear time?
Yupo kwenye timu kiongozi.Ni kweli Manara huyu sio yule wa Simba.
Kiukweli kabisa Simba ajawai kushindwa vita.
Nyoooo..Ndio ujue kuna utofauti mkubwa wa YANGA na Simba. Yanga wanafanya kazi zao kwa kufuata utaratibu na sheria. Huku hakuna mambo ya kuropoka ropoka. Hakuna mambo ya kudharirisha wengine
Taasisi kubwa ukiilinganisha na ipi?..KMC au MTIBWAYanga ni Taasisi kubwa Sana kazi zinafanywa kwa umakini. Ikifika muda wa kumtumia Haji ataonekana, kila Jambo Lina wakati wake.
Kabwili fc sheria zipi? Wanababaisha tu hawawezi zungumza na mchezaji kuvunja mkataba wa timu yake alafu Umemsaini kwa vile Azam fc waungwanaNdio ujue kuna utofauti mkubwa wa YANGA na Simba. Yanga wanafanya kazi zao kwa kufuata utaratibu na sheria. Huku hakuna mambo ya kuropoka ropoka. Hakuna mambo ya kudharirisha wengine
Hapo watakuwa wamekuelewa mikia wenzio tu. Mbona unaongea kirivas rivas. Tulia andika vizuriKabwili fc sheria zipi? Wanababaisha tu hawawezi zungumza na mchezaji kuvunja mkataba wa timu yake alafu Umemsaini kwa vile Azam fc waungwana
wakati ule mnaropoka mshamalizana na chama hadi mwakalebera akaomba msamaha au mlivyokuwa mnaropoka morison ni mchezaji wenu hadi mkadondokea pua cas ilikuwa yanga ipi.Ndio ujue kuna utofauti mkubwa wa YANGA na Simba. Yanga wanafanya kazi zao kwa kufuata utaratibu na sheria. Huku hakuna mambo ya kuropoka ropoka. Hakuna mambo ya kudharirisha wengine
Hata hapo tu ulipoandika kuna utofauti mkubwa kati ya YANGA ninayoimanisha na hiyo yanga yakowakati ule mnaropoka mshamalizana na chama hadi mwakalebera akaomba msamaha au mlivyokuwa mnaropoka morison ni mchezaji wenu hadi mkadondokea pua cas ilikuwa yanga ipi.
mimi sina yanga wala siwezi kushabikia utopoloHata hapo tu ulipoandika kuna utofauti mkubwa kati ya YANGA ninayoimanisha na hiyo yanga yako
Labda alitaka kusema EarphoneEar time?
Kichwa ngumu,bado hujagundua wala hujaelewa?. Kalalemimi sina yanga wala siwezi kushabikia utopolo