Manara: Jumanne Nabutua, wanachama wetu watulie

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,179
2,940
Msemaji wa Simba aliepewa adhabu Haji Manara amelalamikia kutopewa haki ya kusikilizwa na chama cha mpira nchini. Manara amedai hati ya mashtaka ya TFF imemtuhumu kwa kutaja ukabila ila haielezi hata kosa moja walilomfungia nalo kati ya matatu waliyosema anayo.

Amedai ameandikiwa hati ya mashtaka nyingine na hukumu imesomwa kivingine, amesema vita ni kubwa kuliko watu wanavyofikira, amesisitiza ni war na sio battle.

Kuhusu adhabu ya Simba ameshangazwa na TFF kuzungumzia madai yawaalikwa na kuacha hoja ya msingi ya kadi tatu za njano.

Haji ameongeza TFF imekuwa mkubwa kuliko baraza la michezo nchini(BMT) na serikali kwani imepuuza maagizo yao na amedai anaweza kuzuiwa kuzungumzia habari za Simba lakini hawezi kuzuiwa kuzungumzia mpira. Ameongeza mpira nchi hii hauendi kwani mchana wanatoa hukumu nyingine na jioni wanatoa maamuzi mengine.

Manara ameongeza, Rais wa TFF, Jamal Malinzi na vyombo vyake vya TFF wanataka kuharibu soka nchini.
 
Wajibu wa timu ni kukata rufaa ambapo ni moja ya sheria za soka duniani, bila shaka Simba walifanya hivyo

Sasa tuulize namna gani baada ya mechi au wale Tifutifu kuuliza ni moja ya sheria za soka.?
Rufaa nje ya muda, bila kaweka kipengele cha muda mashuri mengi yasingeisha.
 
Hoja yake ni ya msingi kabisa je Fakhi ana kadi 3 au hapana, wao wanahamisha goli
Na wewe utakua ni mmojawapo wa mambumbumbu...kamati haiwezi kujadili hoja ya kadi tatu za njano kwakua kanuni za maombi ya kukata rufaa hayakufatwa....
1. Kuchelewa kupeleka malalamiko ndani ya masaa 72 jambo ambalo Simba walitoka nje ya mda... ( ikumbukwe kanuni hii ilitumika Polisi Dodoma walivyoikatia rufaa Thimba japokua walikua na vielelezo vya kutosha, mkafurahi sana, kwanini leo msifurahi?.. Mkuki kwa nguruwe sio)
2. Hamkulipia malipo ya rufaa yenu 300,000 Kama ilivyo kanuni... Japokua mnajitangazia mna pesa, sijui mlishindwaje laki 3, mlitegemea kubebwa hivi hivi.. Hilo ndio tatizo la kuwa na viongozi mambumbumbu...
3. Kikao cha bodi mnaletaje wageni waalikwa, waje kufanya nini, kwani mmesikia ni ufunguzi wa uwanja? Lakini hiyo yote ni hasara ya umbumbumbu... Rage alishajitoa kwenye umbumbumbu...

Sasa unapotaka zijadiliwe kadi 3 za njano,... Unaanzaje wakati kanuni zimekiukwa?
Kanuni ni kumvua pichu demu wako ndio ule zigo, wewe unaanza kugegeda bila kutoa pichu, halafu baadae unaanzaje kujadili mimba ambayo haiwezi kukaa mpaka pichu itolewe.... Amka!
 
Umeongea vema sana lakin nikuulize kipi kilimpa simba point tatu kabla ya kurudishwa kwa kagera jana?? Na jana maamuzi yalikua kuchelewesha laki 3 au hana kadi za njano tatu au rufaa ilikosewa??
 
Back
Top Bottom