Manara awaita mashabiki wa simba Mpururo

Tairi bovu

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
3,063
2,985
umevimbiwa na shibe, unawaita mashabiki mpururo wale wa buku 7000/= unasahau kuwa wale ndio huwa wanajaza uwanja? ni dharau na kiburi kilichopitiliza
waombe radhi
 
umevimbiwa na shibe, unawaita mashabiki mpururo wale wa buku 7000/= unasahau kuwa wale ndio huwa wanajaza uwanja? ni dharau na kiburi kilichopitiliza
waombe radhi
Chukulia poa tu mzee! Haina haja ya kukuza kila kitu kwa sababu zako binafsi.
 
Back
Top Bottom