Unashangaa, huyu jamaa kila mwanamke anayemuweka ndani anamkimbia na sasa anamfukuzia demu mmoja wa EFM aitwaye Tunu Shenkome....naye sitoshangaa akija mkimbia. Yaani ni kama ana laana fulani hivi na mademu.
Manara ni malaya na ana mdomo mchafu huyo ni mke wa tatu kumkimbia na wengine walimkimbia kabla ya kuwa Simba na ni jeuri so asisingizie Simba, pia ni mwanamke asiye jielewa anayeweza kuishi na mwanaume design yake