Wadau huwa kuna kitu kinanichanganya kidogo kuna hawa watu wawili huwa sielewi hasa yupi ni manager wa TipTop Connection (Bonge na Babu Tale) naomba ufafanuzi kidogo kati ya hawa nani ni manager wa wa TipTop Connection
![]()
Babu tale ndio big boss wa akina madee yaani TIPTOP Said Fella Big boss wa Tmk na Yamoto band ya akina Dogo Asley na wenzake