Manabii wa uongo wa Mwanza.

Manabii wa uongo wa Mwanza.

Stevemike

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
117
Reaction score
15
Wakati dunia ikiingia kwenye delema ya imani za kidini pamoja na matukio yanayodhihirisha mwisho wa dunia, jiji la mwanza linasikika kujaa manabii wa uongo. Ni akina nani hao? Naomba niwajue kwa majina. Wanafanya nini yanayodhihirisha kuwa ni manabii wa uongo? If u know nothing about this, please just keep silence.
 
Back
Top Bottom