Tupo mkuu.
Tatizo alituangusha alipotoka "Baru /mbio".
Inaonekana hakusoma ule mstari wa yule dogo tikiko aliyekufa Kwa ajali wakati Paulo anaendesha ibada. Paulo hakukimbia alihakikisha ameweka mambo Sawa Kwanza
Wamtetee muuaji hivi hata wewe unamtetea?
Okay wameona hapa wataumbuka waziwaziSimtetei ila ni kawaida yao kuteteana.Nashangaa kwenye hili wameingia mitini. Najiuliza inakuaje ukoo wa panya wanamtelekeza mwenzao.
Sent using Jamii Forums mobile app