connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,806
- 3,860
Tunao manabii kadhaa nchini. Tuseme hawakuona hili tetemeko kabla ya kutokea?
Wako bize kuuza chumvi,mafuta,vitambaa,udongo wakidai vina upakoTunao manabii kadhaa nchini. Tuseme hawakuona hili tetemeko kabla ya kutokea?
Tetemeko lilitokea MyanmarTunao manabii kadhaa nchini. Tuseme hawakuona hili tetemeko kabla ya kutokea?
Wafia dini katika ubora waoThailand na Brazil dhambi nje nje thus wanatandikwa sana na nature ( Mungu) Pattaya Thailand na Brazil wanauza mchana kweupe.