picha ya kwanza nilidhani kilema wa uso
Kuna jamaa nlishawahi tumiwa video whatsapp ni mswahili kwa upande wake tukiongelea UGLY FACE huyu mchina hafiki..!!
Kwenye video alikuwa anaambiwa anune daah!! Anaitwa Omari. Mwenye kuijua atakuwa amenielewa
mmmh sipati picha na wewe ukikunja uso inakwajeHahahaha mie pia
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mmmh sipati picha na wewe ukikunja uso inakwaje
Yule kijana taahira? Anaambiwa omar rembuaa au sio?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Yeah huyo huyo..!!
Sasa yule na huyu nani anamfunika mwenzake??
Ah yule kiboko..ila kiukweli sikuipenda ile video maskin yule kijana wa watu taahira wao wanamfanya kana mdoli..n