Ali Kiba anavyoboa watu na nyimbo zake zilipendwa mwaka wa nne mfululizo

Tarishi

Senior Member
May 9, 2008
103
133
Nilisoma mahali humu kwamba so called hitmaker wa "Mwana", Ali Kiba, amedai yeye anamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini na ufujaji wa kipaji, na kwamba mwimbaji huyo ambaye amekuwa akishinikizwa na mashabiki wake kuachia wimbo mpya ikiwa ni miezi kadhaa toka aachie video ya wimbo wa 'Cheketua', huku akidai kuwa yeye akitoa kazi yake moja ina uwezo wa kukaa sokoni kwa muda mrefu.

Ali Kiba alinukuliwa akisema "Fans don't worry about me. Kitu ambacho nafanya "New Kiba, New Year" ni kutaka kwenda sawa na nyie. Lakini nilikuwa nataka mnielewe kutoa nyimbo kila dakika ni umalizaji wa Talent yako au kutojiamini auTalent yako fupi au una jaribu.Mimi najiamini kwa kitu ambacho natoa ni muda gani natakiwa kurudi tena",alisema, akiwataka watu kuacha kumfananisha na wasanii wengine kwa kuwa yeye anafanya vitu tofauti na wengine.

Naam kila mtu ana haki kusema lake ila sio haki kumsikiliza na kumkubalia anachotaka mtu uamini baada ya kumsikia. Nami ni haki yangu kusema kwamba mdogo wangu Ali Kiba nyodo itakumaliza. vinyimbo vyako viwili (Aje na Seduce me) leo nimevisikia Clouds FM radio na TV toka asubuhi hadi nimekinai na nimebadili stesheni, na sitarajii kurudie tena hadi kesho maana unaboa, umeniboa na kila ninaeongea nae kasema umeboa.

Wenzio kila mara wanatoa nyimbo nawe unawaponda eti hawajiamini na hawana uwezo. Hivi unajiona uko juu sana na kuimbia puani huko? Na huo mradi wa kinywaji cha Joseph Kusaga na wadosi wake ndio inakutia nyodo kiasi unadhani sie mashabiki wako tutasubiri uje na mpya hadi lini? Ndio maana hata mialiko ya nje imekufa sababu huna jipya. Muone mwinzio Dimond kaalikwa hadi Kombe la Dunia, hivi sasa yupo London na atamalizia na kuondokea Marekani. wewe upo na ki na Gea Habibu na shilawadu hapo Mikocheni... Hahahhaaaa

Nimesikilia wimbo wa live wa "mali yangu yaliwa" utadhani Issa Matona anaimba taarabu, na uchezaji pia. Hapo sijaongelea nyodo ya kuto-mfollow mtu insta, yaani hata mkeo ama baba na mama yako huwa-follow who the hell do you think you are??

Najua team Kiba mapovu yatawatoka lakini kabla hamjatukana mjue mie sio team Dai na hayo ni yangu ya moyoni kama alivyoyatoa yake hapo juu.

Alamsiki
Tarishi
 
hahaaa nenda kajambie mbele hukoooo"" usikute hujawahi kuwa hata manager wa bar " lakini unakuja hapa nakujifnya unamshauri [HASHTAG]#alikiba[/HASHTAG]...make sure unakuwa manager mzuri wa familia yko kwanza " maana usikute hata school fees inakutoa jasho La meno "" wabongo unafiki ndio zenu """
 
Mawazo yake na kujiamini kwake wewe kunakupa taabu kama umeliwa bure.
Kwani MB Dog hana mashabik mbona hujaleta umbea kwake.
Furahia muzik mzuri kwa wasanii unaoupenda mpya au zamani zipo nyingi mbona.
 
Aliekudanganya mofaya ni kinywaji cha kusaga nani? Huna fact kaa kimya mtoa mada.. No research no rright to speak mbuzi koko we
 
Nilisoma mahali humu kwamba so called hitmaker wa "Mwana", Ali Kiba, amedai yeye anamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini na ufujaji wa kipaji, na kwamba mwimbaji huyo ambaye amekuwa akishinikizwa na mashabiki wake kuachia wimbo mpya ikiwa ni miezi kadhaa toka aachie video ya wimbo wa 'Cheketua', huku akidai kuwa yeye akitoa kazi yake moja ina uwezo wa kukaa sokoni kwa muda mrefu.

Ali Kiba alinukuliwa akisema "Fans don't worry about me. Kitu ambacho nafanya "New Kiba, New Year" ni kutaka kwenda sawa na nyie. Lakini nilikuwa nataka mnielewe kutoa nyimbo kila dakika ni umalizaji wa Talent yako au kutojiamini auTalent yako fupi au una jaribu.Mimi najiamini kwa kitu ambacho natoa ni muda gani natakiwa kurudi tena",alisema, akiwataka watu kuacha kumfananisha na wasanii wengine kwa kuwa yeye anafanya vitu tofauti na wengine.

Naam kila mtu ana haki kusema lake ila sio haki kumsikiliza na kumkubalia anachotaka mtu uamini baada ya kumsikia. Nami ni haki yangu kusema kwamba mdogo wangu Ali Kiba nyodo itakumaliza. vinyimbo vyako viwili (Aje na Seduce me) leo nimevisikia Clouds FM radio na TV toka asubuhi hadi nimekinai na nimebadili stesheni, na sitarajii kurudie tena hadi kesho maana unaboa, umeniboa na kila ninaeongea nae kasema umeboa.

Wenzio kila mara wanatoa nyimbo nawe unawaponda eti hawajiamini na hawana uwezo. Hivi unajiona uko juu sana na kuimbia puani huko? Na huo mradi wa kinywaji cha Joseph Kusaga na wadosi wake ndio inakutia nyodo kiasi unadhani sie mashabiki wako tutasubiri uje na mpya hadi lini? Ndio maana hata mialiko ya nje imekufa sababu huna jipya. Muone mwinzio Dimond kaalikwa hadi Kombe la Dunia, hivi sasa yupo London na atamalizia na kuondokea Marekani. wewe upo na ki na Gea Habibu na shilawadu hapo Mikocheni... Hahahhaaaa

Nimesikilia wimbo wa live wa "mali yangu yaliwa" utadhani Issa Matona anaimba taarabu, na uchezaji pia. Hapo sijaongelea nyodo ya kuto-mfollow mtu insta, yaani hata mkeo ama baba na mama yako huwa-follow who the hell do you think you are??

Najua team Kiba mapovu yatawatoka lakini kabla hamjatukana mjue mie sio team Dai na hayo ni yangu ya moyoni kama alivyoyatoa yake hapo juu.

Alamsiki
Tarishi
Wewe sio team dai ni team ndomo hahahah mtatoa sana mlio leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom