Nyundo_tz
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 640
- 21
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"][/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
Prodyuza na mmiliki wa studio ya Combination Sound, John Shariza a.ka Man Walter amezitaja sababu zilizomfanya msanii 20% kutokwenda kwenye studio yake.
Msanii huyo ambae ameandaa albamu yenye nyimbo kadhaa ambazo amezifanya na waandaaji tofauti badala ya Man Water aliyemfanyia kazi kwenye albamu iliyopita ambayo ilimfanya ashinde tuzo tano kwenye shindano la Kili Music Award.
Man Water alisema 20% hawezi kwenda kwenye studio yake na nawezekana anaogopa kutokana na matendo aliyofanya kwenye shoo aliyoiandaa rasmi kwa ajili ya kuwashukuru wapenzi waliowasapoti mpaka 20% kushinda tuzo tano aliyoiita 'Shukrani' ambayo ilifanyika Morogoro.
Alisema aliwaalika baadhi ya wanamuziki kufanya shoo akiwemo 20% lakini hakuna walichokifanya stejini zaidi ya kupiga kelele na kuongea walichokitaka wao kiasi kwamba mashabiki walianza kutoka ukumbini.
"Nilikuwa na nia nzuri ya kuwashukuru mashabiki wetu kwa kutuunga mkono alkini kilichotokea sikukitegemea na sijawahi kuzungumza na vyombo vya Habari kuhusu hilo ,lakini 20% alinitukana an kusema ninamtumia kama sabuni kujinufaisha kama hiyo haitoshi atakuja kunifanyia kitu kibaya ambacho sitakuja kusahau na kwamba Combination kitu gani Studio zipo nyingi "alisema M an.
Kwa upande wake 20% alisema kuwa hana tatizo lolote na Man nakilichomfanya akafanye kazi zake kwenye studio nyingine ni kwamba kipindi anafanya hizo kazi Man alikuwa na kazi nyingi hivyo asingeweza kumudu kuandaa na za kwake.
"Sina tatizo na Man na hata kilichotokea Morogoro ilikuwa ni kuelekezana tu sasa mkielekezana si lazima muonyesheane vidole au muongee kwa nguvu kidogo ndio watu wanadhani tumegombana"alisema 20%.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Man walter abwaga manyanga