tusubiri tuone ukweli ni dakika 90,lakini...........?
Acheni kurukaruka kwa
kuanzisha thread nyingi zisizo na maana, Chelsea atafungwa vizuri tu
bila utata wowote. Tatizo lenu huwa mnaangalia mechi za Man utd tayari
mkiwa na negative attitudes na kama washabiki wa ulaya wangekuwa kama
nyinyi sijui hali ingekuwaje! Hivi wakati wa Morinho chelsea ilipokuwa
inachukua makombe ndani ya England WEB alikuwa bado hajawa refa?
Daa jamaa watabebwa kama kawaida yao lazima chelsea wachezee nyekundu!