Man Utd vs Real Madrid ya mwaka 2003

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
3,053
1,409
Habari zenyu wanaspot wote.
Naomba mwenye link au namna yoyote ya kupata mechi ya UEFA C L baina ya timu tajwa aiweke hapa.
Mechi hiyo ilichezwa 23/4/2003.

Kwa kumbukumbu kidogo:


Naamini kwa ubora wa jukwaa hili jambo hili linawezekana.
Karibuni.
 
Hii mechi hata Mimi naitafuta sana mdau japo Ronaldo de Lima alitunyoosha sana was a fantastic game
 
Back
Top Bottom